Purchase Options – Chaguo za Kununua

PDF eBook

Kiini Cha Maisha in PDF format.

$9.99 $6.99

Add PDF eBook

eBook Bundle

PDF, Apple / Nook / Kindle / Amazon ebook formats.

$11.50 $7.99

Add eBook Bundle

Paperback

Printed paperback copy of Kiini Cha Maisha.

$16.99 $9.99

Add Paperback

Swahili & Luo Libraries

Cloud access to the Swahili and Luo libraries, including this title and related training resources.

$24.99 $12.99

Add Library Access

View Cart

Review your selected items in the BFF store cart.

View Cart

Maelezo – Description

Gundua njia ya urejesho wa nguvu ya kanisa!

Kiini cha Maisha kinatambua sababu kadhaa zinazoleta kutokua katika kanisa la Kristo na kinapendekeza suluhisho madhubuti ya jinsi ya kuleta pamoja uhai wa Mungu katika moyo wa kanisa kupitia uongozi bora na mafundisho.

Mafundisho kabambe yanaanza wakati maono ya Bwana, kazi yake, na kanisa yanawasilishwa kwa njia ambayo watu wa Mungu wanatiwa nguvu na Roho kufanya mapenzi yake.

Watu wa Mungu wanapaswa kusisitiza kuwa makanisa, mikutano, shule na viongozi wafundishe ukweli wa Mungu kwa njia inayoleta mabadiliko, kutia nguvu, na kuwaandaa wengine kwa huduma.

Book Details – Maelezo ya Kitabu

Kiini Cha Maisha

Kielelezo Cha Mafunzo Bora

  • Swahili edition of The Life Core.
  • Approximately 270 pages.
  • Special diagrams and illustrated training concepts.
  • ISBN: 9781619930834.
Swahili BFF Digital Library

For Swahili Ministry

This book serves pastors, teachers, leaders, and Christian workers using Swahili training resources in churches and ministry settings.

Training Emphasis

It connects church vitality with biblical leadership, Spirit-empowered teaching, and intentional discipleship that helps God’s people grow.

Preview Pages – Kurasa za Mfano

Click a preview image to view a larger sample page.

Kuhusu Mwandishi – About the Author

Paul Bucknell family

Kasisi Paul Bucknell anafunza katika mikutano ya uongozi wa Kikristo katika nchi nyingi duniani na ameandika vitabu kuhusu maisha ya Kikristo, uanafunzi, maisha ya kiungu, mafunzo ya Biblia, mwito katika huduma, ndoa, uzazi, na kushinda wasiwasi.

Paul na mke wake Linda wanaishi Pittsburgh, Pennsylvania, USA. Yeye ni mwanzilishi na rais wa Biblical Foundations for Freedom, huduma inayoshiriki mafundisho ya Biblia kwa ajili ya mabadiliko ya maisha.

Learn more about Rev. Paul J. Bucknell »

Continue

Return to the BFF Swahili Library »

Return to the BFF Store »

Learn more about Biblical Foundations for Freedom.