3. Chanzo cha Maisha (7-8)
Kiini Cha Maisha: Gundua Siri ya Mafundisho Makuu
Chanzo cha Maisha · Mkamate Roho
Somo la Kiswahili kuhusu chanzo cha maisha ya kiroho na kazi ya Roho Mtakatifu ndani ya mwamini.
Sauti na Video
Kitini cha Somo
(7) Chanzo cha Maisha
- Maisha ya kiroho, ndipo, zaidi kama maisha ya kimwili na ni kitu kisichoeleweka lakini chenye nguvu ndani ya kila Mkristo mwamini.
- ‘Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa Maji na Roho, hawezi kuuona ufalme wa Mungu. Kinachozaliwa kwa mwili ni mwili na kinachozaaliwa kwa Roho ni Roho’ (Yoh 3:5-6).
Roho wa Mungu Anatenda Kazi Ndani Yetu
“Aliyezaliwa kwa Roho” (Yoh 3:8)
- Roho wa nguvu ni muweza. Hatuwezi kumpa jina(mfano. Wa kiume) wala hatuwezi kufanikiwa kumhesabu, japo tunaweza kumhuzunisha(Ef 4:30).
Mungu Yupo Kazini!
- Maisha ya wakristo wetu wengi yatakuwa na tabia kwa kubainisha ambacho Roho Mtakatifu anahitaji kufanya ndani yetu na katika maisha yetu na baadaye kufanyia kazi imani kwa kuyadhihirisha nje.
- Roho wa nguvu ni muweza.
- Makusudi ya Mungu ni mema siku zote.
Tunachojifunza
- Roho Mtakatifu ni chanzo cha maisha yetu mapya, hutuhamasisha na kutupatia nguvu ya kutenda yote ayatakayo Mungu.
- Hatuhitaji kuwa majasiri kwa nguvu zetu wenyewe. Tupo kama watengenezao magogo na wakihitaji kutazamia kufanya ambacho Mungu Roho anahiktaji katika maisha yetu.
Tunavyoweza Kutumia
- Taja mambo matatu ambayo Roho Mtakatifu anahitaji uyafanye.
- Hebu muombe Mungu. Mshukuru kwa kukupatia tamanio la kumpendeza na kufanya mambo haya. Muombe Mungu akupatie hekima maalumu, nguvu, na msaada ili kupitia msaada wa Roho Mtakatifu utayafanya mambo haya kwa usahihi kwa ajili ya utukufu wa Mung.
(8) Mkamate Roho
- Upepo mkubwa na mikondo ya maji
- Upepo huu hutusaidia tuwazie kazi ya Roho mtakatifu.
- Mungu ni nguvu isiyobadilika inayofanya kazi kutuzunguuka.
- Amani huja baada ya kupumzika kazi yake.
“Lakini itakuwa katika siku za mwisho, ya kwamba mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na watu wa mataifa watauendea makundi makundi” (Micah 4:1-2; Isa 2:1-3).
- Uhai wa Mungu humiminwa kama mfereji ndani ya maisha ya watu wake.
Tai

“Ndiyo wangojao…..”(Isaya 40:31).
- Ainuae –“Kisababisha joto”
- Rafiki nyangu wa juu mwenye jitihada isiyoonekana.
“Roho hutoa uhai” (2 Wakorintho 3:6).
- Roho wa Mungu huanzisha maisha yetu ya kiroho na kuendelea kutuwezesha kubadili utu wetu wote.
- “Sifahamu kile Mungu anaendelea kutenda!”
Hatua Zisizowezekana za Maisha
- Baadhi ya Njia zinazoonyesha Vigumu Kutembea
- Zaidi ya uhalisi wa uwezo wetu.
- Muda usiotosha
- Zaidi ya uwezo wetu wa kifedha.
- Upinzani wa familia na marafiki
- Uwezo au vipawa visivyotosha
- Kutokuwa na kujiamini.
- Mungu katika hekima yake anatuongoza
Kaa Ukitazamia na Uwe Tayari
Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho I radhi, lakini mwili u dhaifu (Mathayo 26:41).
- Waamini wana tamani kumpendeza Mungu (tamanio la kuzaliwa upya).
- Lakini majaribu
- Hata tunapomsubiri Mungu; Yeye ni nguvu yetu!
Tunachojifunza
- Mungu anahitaji kumtegemea yeye kwa hekima, muda, fursa, na mambo mengine kufanikisha kazi yake.
- Mungu kwa ujasiri anatazamia kutupatia kinachohitajika kufanya mapenzi yake, lakini tunajikuta tukitegemea rasilimali zetu ambazo zitatuangusha.
- Wakati mwingine tunapambana na watu na hali zisizowezekana lakini Bwana bado yupo pamoja nasi kutusaidia kushinda, hata kama muujiza unahitajika.
Tunavyoweza Kutumia
- Katika njia gani wewe hujikuta ukitegemea rasilimali zako kutenda kazi ya Mungu, na bado unaishiwa kuchanganyikiwa na kushindwa?
- Je wewe “hukesha na kuomba” wakati unapokutana na hali ngumu?
Rasilimali
PDF ya Somo la 3 | Kitabu cha Kiini Cha Maisha | Orodha ya masomo