8. Chanzo cha Maisha na Kiini cha Maisha (19-32)

Kiini Cha Maisha: Gundua Siri ya Mafundisho Makuu

Paul J. Bucknell · Kimetafsiriwa na Miriam Okeyo

Kusudi la Ufuasi · Kiini Cha Maisha · Kukamatilia Maono

Somo la Kiswahili kuhusu kusudi la ufuasi, Kiini cha Maisha, maono, na mafunzo yanayolenga ukuaji.

Sauti na Video

Kitini cha Somo

Pakua PDF ya Somo la 8  |  Kitini kamili cha Kiini Cha Maisha

Maisha (19-32)

(19) Kusudi la Ufuasi

  • Vifaa vya tathmini
  • Ni vigumu kutathmini ukuaji wa kiroho na hivyo basi ni vigumu kufanya makadirio fulani
  • Ukuaji wa kiroho, kama ukuaji wa kawaida, siyo wa kuzaliwa nao lakini unaohitaji mafunzo(Mat 28:19)
  • Kusudi letu ni kufundisha ili wengine wajifunze
  • Onyesha namna mfumo unavyofanana na sehemu ya mtazamo wa elimu na mafunzo
  • Mabadiliko ya maisha ambayo hutoke tunapomjua God kupitia Kristo ni ya kuvutia; mwalimu anaweza kuona badiliko ndani ya mwanafunzi.

(20) Kiini Cha Maisha

  • Pasipo kuelewa kiini cha maisha yetu ya kiroho — kama kiini cha dunia kilichosahaulika
  • Msukumo binafsi wa kiroho utakaofanya kazi ndani yetu ni Kiini cha Maisha(Yoh 16:13)
  • Mifano miwili: Roho Mtakatifu anapokutana na mwamini
  • Nguvu ya mwamini huja kwa kujiungamanisha na kukubali mapenzi yake na kazi ya Roho Matakatifu (Rum 12:1-2).

(21) Kukamatilia Maono

  • Walimu wanahitaji kukamatilia kazi ya Mungu ili imani yao katika Mungu na mwanafunzi ikue
  • Uumbaji ni ni kipande chake kidogo kikuu vivyo hivyo na
Mchoro wa somo la Chanzo cha Maisha na Kiini cha Maisha (19-32)

Kanisa la Mungu (tazama Wakolosai 1:15-20)

  • Kila mmea ni pekee na bado kuna mfanano wa majukumu, kama waamini
  • Ukomavu ni wakati matunda yanakuja kuzaliwa. Ni wangapi wamekomaa katika darasa lako? Kanisa?
  • Mafunzo husababisha kuendeleza malengo asilia lakini pia kimahususi hutoa wito pekee.

  • Roho ya Kristo inatenda kwa kila mwamini wa kweli, akitufanya kama yeye!

(22) Ukomo Wetu • Malengo ya Mungu huenda mbali zaidi ambako tunaweza kuyachukua. Hiyo ni sawa.

  • We Sisi si walimu au mababa lakini Wasaidizi, wahamashishaji (Mat 23:8-10).
  • Hatusababishi mtu akue lakini ni kutengeneza akue kiurahisi.
  • Karibisha vikomo lakini na maombi na Mungu katika akili: muda, hali, rasilimali, vipawa (1 Kor 3:6-7).Mwamini Mungu katika kufanya kazi zake katika mambo yanayoendeleza (mfano matatizo ya ndoa) kuendeleza au kulenga katika kazi inayohitajika.
“Nami nakuambia wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga langu; wala milango ya kuzimu haitalishnda” (Mathayo 16:18).

(23) Viungo vya Kitu Kizima • Umuhimu wa tatizo: namna Mungu anavyotazama malengo na yanavyotia-Mfano uvumbuzi wa

Newton katika kugundua mwanga

  • Umuhimu wa malengo yanayopimika hata katika maisha yetu ya kiroho( linganisha maisha halisi na maisha ya kiroho)
  • Alama za ukuaji wa kiroho iwe malengo yetu; usisabishe maisha lakini tulazimishe kufanya kazi sambamba na Bwana
  • “Walakini mwisho wa agizo hilo ni upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki” (1 Timotheo 1:5).
  • Ufunguo katika mafunzo makuuu upo katika namna tunavyojiungamanisha maeneo ya makuu mawili:

(1) Husianisha sehemu zote za ukuaji kwa mpango mzima wa Mungu wa maendeleo ya kiroho

(2) Uangalizi wa kimkakati wa kiroho na maelekezo yanahitajika muda wowote kwa mwamini

(24) Mafunzo Yenye Kusudi • Amekua lakini bado anahusika

  • Mchakato wa ufuasi ( 2 Timotheo 2:2)
  • Lengo la kuwa na ndoa kuu
  • Lengo wakati wa kuandaa wanafunzi Wakristo
  • Mfano wangu mwenyewe( hitimu kwa malengo)

  • Theolojia kamwe haijatazamia kupata malengo ya Mungu

(25) Kuchukua Kusudi kwa Uangalifu • Mpango wa Mungu wa maisha katika ukuaji wetu wa kiroho siku zote upo kazini chini ya zulia.

  • Yohana anasema tu-washindi lakini Je, wanaseminari/Wahitimu wa Chuo cha Biblia wanakubaliana?
  • Vipi kuhusu maarifa ya Biblia?(Mat 13:14-15)
  • Walimu kimakosa hukubali maarifa kwamba ni hitaji la msingi la wanafunzi.
  • Mafunzo yetu ni lazima yawe yanarudiwa kutathiminiwa katika nuru ya mchakato wa mafunzo ya Mungu.

(26) Kuunganisha Palipoachana • Lengo kuu zaidi ya maarifa—huachilia uweza wa Neno la Mungu ndani ya maisha ya watu Wake

  • Mengi yanaweza kuongelewa kwa jitihada za wanafunzi wetu, lakini je, wapo tayari kwa huduma?
  • Wanaopinga uwepo wa Mungu wanasema, tukiwa na maarifa, tunaweza kufanya mambo makuu. Lakini Yesu anasemaje?
  • Tatizo: Yesu anahitimisha kwa Neno la Mungu haijaingia mioyoni mwetu(Mfano wa Mpanzi)
  • Profesa wangu wa Agano la Kale, “Hii inaweza kuwa muda wa pekee wa kusoma Agano la Kale katika maisha yako.”
  • Yesu alitambua namna Shetani anavyotumia majaribu kuiba imani yetu(kuamini) katika Neno la Mungu(Mat 4:4).
  • Kumtegemea Mungu au Maarifa yetu?

(27-28) Funza & Wezesha Waamini Wapya • Namna gani tunaweza kuwasaidia waamini wapya? Lipi lengo la Mungu kwao?

  • Malengo ya Mungu kwa waamini wapya na mafunzo yetu lazima vifanane.
  • Wachungaji wachache wanaamini kuandaa wafuasi ni muhimu
  • Tanua maono kwa waamini wakomavu kuwalisha na kuwapatia kwa ajili ya waamini wapya
  • Eleza kitu gani msingi huu wa kujali uanvyoonekana
  • Onyesha namna gani mafunzo ya waamini wapya yanaendana na picha nzima ya maendeleo na mafunzo

  • Bainisha ambacho waamini wapya
Mchoro wa somo la Chanzo cha Maisha na Kiini cha Maisha (19-32)

wajifunze na kukikamata katika hatua ya ukuaji wa Kikristo.

  • Matatizo mengi ya maisha ya waamini huanza kutokeaa kwa sababu ya kukosa mafunzo.
  • “ Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu” (Ebr 5:12-13).
  • Kazi ya Mungu mahususi na binafsi katika maisha ya kila mwamini halisi na kanisa kwa ujumla.
  • Kuzaliwa mara ya pili huanzisha(Tito 3:5-6)—“kuoshwa”
  • Kuwa wakubadilika katika kutunza ufuasi wa waamini wapya. Wawezeshe waamini kwa mafunzo.

(29-30) Funza & Wezesha Waamini Wapya • Vijana waliovuka utoto wana mahitaji tofauti kuliko watoto wadogo.

  • Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya ufalme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. (Waefeso 6:11-12).
  • Waamini vijana lazima watambue namna ya kutumia Neno la Mungu wao kama wao.
  • Lazima waliweke Neno la Mungu katika maisha yao ili liwasaidie kumzuia muovu.
  • (Lengo 1) Kiroho huwalisha wenyewe kupitia Neno la Mungu( mfano. Mara kwa mara na msaada nyakati za ukimya).
  • (Lengo 2) Kufahamu fundisho la msingi kutoka katika Neno la Mungu kwa kujali maeneo
  • (Lengo 3) Kwa mwendelezo wakipambanua na kuyashinda majaribu yanayokuja katika maisha yao.
  • Washauri wazuri ni wa muhimu; vitabu husaidia.
  • Wapatie maono yote ya wanakoelekea.
  • Wezesha: tumia malengo ya Mungu yaishio na jifunze namna ya kufundisha wengine.
  • Jijaze kwa kujiimarisha kwa majibu ya papo.
  • Elewa tatizo lenyewe la jaribu
  • Chunguza namna jaribu linavyohusiana na asili ya dhambi zao na dunia

  • Kupata na kutumia ukweli kupiga majaribu
  • Kuweka kipaumbele cha kusamehe katika mioyo yao
  • Kushuhudia binafsi kuhusu uweza wa Neno la Mungu
  • Maendeleo muhimu ya imani: “Kwa maana kila kinachozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu: hiyo imani yetu. (1 Yoh 5:4).
  • Faida ya uwajibikaji inatengeneza makundi (mfano wamethodist wa mwanzo, na wengine)

(31-32) Funza & Wezesha Waamini Wapya • Waamini waliochanganyikiwa — “Oh, Mimi siyo baba halisi”

  • (1) Kwa kuongezea kutumia viwango vya Mungu na malengo
  • (2) Mtafute Mungu kutushauli kwa muendelezo wa kiuungu
  • (3) Fundishwa kuwa bora kuwasaidia wote watunguukao. “Maana nchi huzaa yenyewe; kwanza jani, tena suke, kisha ngano pevu katika suke” (Marko 4:28).
  • Tafuta ukaribu na Mungu
  • Tegemezi kama mtoto lakini sasa unawajibika
  • Zama ndani katika Neno Lake

kujali vijana wa kiroho.

  • Pigana na masumbufu binafsi ya ndani ➡ Endelea wakati wengine wamekata tamaa ➡ Kuwa wa kuendelea kuamini wakati wengine wana wasiwasi ➡ Kuwa halisi wakati ukiishi katika jamii isiyo halisi ➡ Onyesha upendo wa Mungu kupitia kuwatumikia wengine
  • Wafunze waamini kuwajali waamini vijana inavyotakiwa. (Efe 4:11-12)
  • Mkristo aliyekomaa hutafuta ukaribu zaidi na Mungu ili ajihusishe na kutumikia wengine.
“Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu; lakini katika uovu mgeuzwe watoto wachanga, bali katika akili zenu mkawe watu wazima” (1 Kor 14:20).
  • Kwa wema wakabili wengine inapohitajika
  • Bila kupitia hatua kwa hatua bali kuandaa kusaidia wengine kuvuka.
  • Hatari ya kukwama
  • Hatari ya kukomaa wakati bado
  • Hatari ya viongozi wa kanisa ambao hawajakomaa

  • Jaribio la uvumilivu ( Ebr 10:23); Lakini chunguza kila jambo kwa makini; huku mkishika kila lililo jema ( 1 Th 2:15).
  • Ukuaji unaoendelea: Si kwamba nimekwisha kufika, au nimekwisha kuwa mkamilifu; la! Bali nakaza mwendo ili nipate kulishika lile ambalo, kwa ajili yake nimeshikwa na Kristo Yesu (Wafilipi 3:12).
  • Kuepuka kuchoma (Yohana 15:5)
  • Mafunzo mazuri husaidia:
  • Mchakato wa siku zote kuwa na nyakati muhimu za ukimya.
  • Namna ya kurejesha nyakati nzuri za ukimya wakati wa kupoteza.
  • Njia ya kupata ufahamu kutoka vifungu vigumu
  • Maana ya kumsikiliza Mungu kutoka katika maandiko
  • Kuwaelekeza wengine katika makundi madogomadogo
Mchoro wa somo la Chanzo cha Maisha na Kiini cha Maisha (19-32)

Hitimisho

Rasilimali

PDF ya Somo la 8  |  Kitabu cha Kiini Cha Maisha  |  Orodha ya masomo