6. Mwanzo wa Maisha na Wewe (15-16)

Kiini Cha Maisha: Gundua Siri ya Mafundisho Makuu

Paul J. Bucknell · Kimetafsiriwa na Miriam Okeyo

Hatua ya Utoto #1 · Hatua ya Ujana #2

Somo la Kiswahili kuhusu hatua za utoto na ujana katika ukuaji wa kiroho.

Sauti na Video

Kitini cha Somo

Pakua PDF ya Somo la 6  |  Kitini kamili cha Kiini Cha Maisha

(15) Hatua ya Utoto #1

  • Mambo ya kiroho yaliyojificha yanapatikana katika picha inayo onekana.
  • Kila mmoja wetu alianza maisha yake kama mtoto.
  • Kuzaliwa ni alama ya kwanza inayoonekana.
  • Kuwa baba kunafuatia ndivyo ilivyo kiroho!

Mzunguuko Kamili

“Kuzaliwa kwa Roho” (Yohana 3:8)

  • Mzunguuko kamili hutokea pale mtoto anapokua na kuwa katika upendo wake.

Ukuaji wa Mtoto

Mchoro wa somo la Mwanzo wa Maisha na Wewe (15-16)
  • Hatua zinazoonekana katika maendeleo- kutambaa, kukaa, n.k.
  • Ndivyo ilivyo na kwa mwamini mpya wakati wa hatua yake ya kwanza ya maendeleo ya kiroho.
  • Ishara za ukomavu: “Nafikiri tumekua wazee tayari kupumzika, sasa.”

Mengi ya Kujifunza!

  • Mwamini mpya ana mambo mengi ya kujifunza.
  • Hutumia matamanio ya kuzaliwa upya kutusaidia kuelewa namna mwamini mpya anapenda kupokea Neno la Mungu-sawasawa na maziwa ya mwamini.
  • Ukuaji hutokea wakati mwamini apatapo Neno la Mungu, kama vile mtoto mchanga apokeavyo lishe.
“Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu“(1 Pet 2:2).
  • Kwa tunasisitiza sana kuokoa watu na tunatumia jitihada kidogo katika kuwajali. Je, ukuaji huja pasipo matunzo?

Kulipatia Mafunzo Kanisa Kutunza

(1) Shawishi watu wa Mungu kuhusu umuhimu na uhitaji wa kufundisha wamini wapya,

(2) Wawezeshe namna ya kufundisha waamini wapya,

(3) Wapatie vitendea kazi vinavyohitajika wanavyoweza kutumia kufundishia waamini wapya,

(4) Watie changamoto kufundisha waamini wapya katika kuzaliwa kote kuwa na akili ya mchakato wa kutumika.

Tunachojifunza

  • Wafuasi wapya wa Yesu hufananishwa na mtoto mdogo, kichanga, kwa sababu anamahitaji yanayofanana na yanayoweza kutimizwa na mtunzaji.
  • Mungu anahitaji tuwajali waamini wapya kama Mama mpole na mvumilivu anayejali watoto wake wadogo.
  • Mungu anawafundisha wamini wapya ukweli wa msingi kutoka katika neno lake kipindi cha hatua ya mwanzoni, kuuinua ukuaji.

Namna ya Kutumia

  • Namna ya kuhudumia waamini wapya wanaokuzunguuka? Je unawapa nidhamu? Kwa nini au Kwa nini hapana?
  • Kama hauku adabishwa mapema, ni mambo gani unahisi uliyakosa?

(16) Hatua Ya Ujana #2

  • Kama mwamini mpya anahitaji upendo wa karibu na uangalizi, ni kipi mwamini kijana anahitaji?
  • Mtu kijana kwa namna anavyo anza kujizuia katika maamuzi yake binafsi na kuongeza mzunguuko.
  • ‘Ujana’ kuelezea kipindi hiki cha mabadiliko- si mdogo na hajakomaa.

Changamoto Ya Waamini Wachanga

  • Mwamini kijana hujifunza namna Neno la Mungu na kujisamama kwa imara kinyume na ushawishi na majaribu.
  • Kiuhalisia, vijana hujifunza namna ya kuishi mbali na wazazi wao.
  • “Nawaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, na mmemshinda yule mwovu” (1 Yoh 2:13-14)

Hatua Zaidi za Ukuaji

Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa” (2 Pet 1:4).

  • Vijana hupenda kufikiri kuwa wakubwa zaidi walivyo, wakihitaji uhuru pasipo kuwajibika.
  • Wanapaswa kukutana na changamoto katika “kuwakomaza”
  • Binti mwenye busara huimarisha nidhamu njema ya kiroho na kujifunza kutoka kwa wengine namna ya kutumia Neno la Mungu katika kupambana na jaribu.
  • Si sahihi kutokumjali mtoto lakini pia kutojali mahitaji ya vijana wanapokua kuelekea ukomavu.
Mchoro wa somo la Mwanzo wa Maisha na Wewe (15-16)

Tunachojifunza

  • Waamini vijana hukutana na changamoto ya kujifunza namna ya kutumia Neno la Mungu kuishi maisha imara ya Kikristo.
  • Vita vya kiroho vitatokea katika maisha yetu mapya kwa sababu miili yetu na adui wetu ambaye hutumia kutafuta kutudhuru.
  • Ahadi za Mungu ni kwamba Neno lake laweza kutusaidia kupata shindi.
  • Jicho la kiroho matika hatua hii laweza kusaidia mwamini kijana aliyechanganyikiwa.

Tunavyoweza Kutumia

  • Je, una nidhamu ya kiroho imara ya kujilisha mwenyewe Neno la Mungu? Kwa nini au Kwa nini hapana?
  • Je, unadhani unachopata kila siku cha Neno la Mungu ni muhimu kwa maisha imara ya kiroho? Kwanini ufikiri hivi?

Rasilimali

PDF ya Somo la 6  |  Kitabu cha Kiini Cha Maisha  |  Orodha ya masomo